Simba Sports Club
News

Queens yafanya mazoezi ya mwisho kujiandaa na JKT

8 Jan 2024

Mchezo huo mkali unatarajiwa kuwavutia wengi utapigwa katika Uwanja wa Azam Complex saa 10 jioni.

Wachezaji wote wameshiriki mazoezi hayo kikamilifu na wapo tayari kwa mchezo wa kesho.

Advertisement

Kocha msaidizi Mussa Mgosi amesema mchezo utakuwa mgumu kutokana na ubora wa JKT lakini tumejipanga kuhakikisha tunapata ushindi.

Back to homepage
Share this story