Kesho saa tano asubuhi Queens itashuka katika Uwanja wa Addis Ababa kuikabili RVP Buyenzi kutoka Burundi.
Morali za wachezaji zipo juu na kila mmoja amefanya jitihada za mazoezini kuhakikisha analishawishi benchi la ufundi kumpa nafasi katika mchezo wa kesho.