Wachezaji wote wamefanya mazoezi hayo na jambo jema ni kwamba hakuna yeyote ambaye amepata majeraha na kusababisha kukosa mchezo wa kesho.
Tutaingia katika mchezo wa huo tukiwa na nia thabiti ya kupambana kupata ushindi ili kufufua matumaini ya kutinga hatua ya nusu fainali.