Simba Sports Club
News

Queens yafanya mazoezi ya mwisho.

18 Aug 2024

Tunafahamu utakuwa mchezo mgumu kwakuwa kila timu inawakilisha Taifa lake lakini tupo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho.

Malengo yetu kwenye michuano hii ni kuchukua taji la ubingwa ili kupata tiketi ya kuiwakilisha CECAFA kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Advertisement
Back to homepage
Share this story