Wachezaji wote wameshiriki mazoezi hayo na hakuna yoyote ambaye tutamkosa kutokana na nakuwa majeruhi au kutumikia adhabu.
Morali za wachezaji zipo juu na tunategemea kupata upinzani mkubwa kutoka kwa Yanga hasa ukizingatia ni mechi ya Derby lakini tumejipanga kuhakikisha tunashinda.
Advertisement
Tunategemea kupata upinzani mkubwa kutoka kwa Yanga hasa ikichangiwa pia kila timu ina pointi sita baada ya kucheza mechi mbili.