Zainabu ametokea timu ya Baobab Queens ya Dodoma na amejiunga na Queens baada ya kuridhika na uwezo wake.
Tumeanza kuandaa kikosi mapema kwa kuwa tunajua kuna michuano ya kimataifa kuanzia mwishoni mwa mwezi ujao.
Advertisement
Zainabu ni mchezaji wa kwanza ambapo usajili mwingine utaendelea kutangazwa mpaka tutakapojiridhisha kikosi kipo tayari kwa mapambano.