Queens imeondoka Dodoma baada ya kuifunga Fountain Gate mabao 4-0 mchezo uliopigwa jana Uwanja wa Fountain.
Kikosi kitashuka katika Uwanja wa shule ya Braeburn saa 10 jioni, Mei 10 kuikabili The Tiger katika mchezo wa Ligi Kuu ambao tunataraji utakuwa mgumu.
Advertisement
Tutaingia katika mchezo wa Jumanne tukiwa kileleni mwa msimamo tukiwa na alama 51 baada ya kucheza mechi 18.