Simba Sports Club
News

Queens tumeshusha 'Mido' kutoka Uganda

17 Nov 2023

Nabbosa raia wa Uganda amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Queens.

Nabbosa ambaye anaijua vizuri ligi yetu ya Wanawake ya Serengeti Lite Women's Premier League (SLWPL) kutokana na kuchezea Fountain Gate msimu uliopita tayari amejiunga na timu inayoendelea na maandalizi chini ya kocha Mussa Hassan Mgosi.

Advertisement

Nabbosa anakuwa mchezaji wa pili kutangazwa kusajiliwa Queens baada ya Diakiese Isabelle kutoka klabu ya Feminin Espoir ya Nigeria.

Baada ya kukosa ubingwa wa SLWPL msimu uliopita tunaendelea kuimarisha timu yetu ili kurejesha taji tulilopoteza.

Back to homepage
Share this story