Queens ambayo itaondoka na jumla ya wachezaji 25 inaondoka mapema siku tano kabla ya kuanza kwa mashindano ili kuzoea mazingira na hali ya hewa ya Morocco.
Queens imepangwa Kundi A ambapo tutafungua pazia la michuano kwa kucheza na wenyeji Asfar FC ya Morocco Oktoba 30.
Advertisement
Kikosi chetu kimefuzu michuano hii baada ya kuifunga She Corporates ya Uganda katika michuano ya CECAFA ikiyofanyika Agosti mwaka huu.