Tutaingia katika mchezo wa leo tukifahamu utakuwa mgumu na kuiheshimu Fountain lakini tumejipanga kuhakikisha tunapata alama tatu muhimu nyumbani.
Mchezo wa leo utakuwa wa nne kwetu tangu kuanza kwa ligi tukishinda mmoja, sare moja na kupoteza mechi moja pia.
Advertisement
Mechi hii itakuwa Live kupitia APP yetu kuanzia saa 9:40 Alasiri.