Simba Sports Club
News

Queens Kamili kushuka dimbani Kesho

15 Jan 2024

Kikosi cha wachezaji 25 kimewasili hapa Ilulu jana na leo kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja huo ambao tayari kwa mchezo.

Simba Queens ipo chini ya Kocha Msaidizi, Mussa Hassan Mgosi kutokana na kocha mkuu Juma Mgunda kuwa nchini Ivory Coast na timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' ambayo inashiriki michuano ya AFCON.

Advertisement

Queens itaingia katika mchezo wa kesho ikiwa na pointi tisa baada ya kushinda mechi zake zote tatu za mwanzo.

Back to homepage
Share this story