Simba Sports Club
News

Phiri, Chama, Mzamiru wachuana Mchezaji Bora Septemba

27 Sep 2022

Wachezaji hao ni mshambuliaji Moses Phiri, na viungo Clatous Chama na Mzamiru Yassin.

Kabla ya kubaki nyota hao watatu walioingia fainali ambapo kabla ya mchujo walikuwa watano akiwamo Mohamed Hussein na Augustine Okrah.

Takwimu za nyota wote mwezi Septemba

Mechi Goli Assist Dakika

Phiri 4 3 2 334

Advertisement

Chama 4 0 2 352

Mzamiru 4 0 0 328

Zoezi la kupiga kura kupitia tovuti yetu ya www.simbasc.co.tz limeanza rasmi leo Jumanne Septemba, 27 na litafungwa Septemba, 30 saa sita usiku.

Mshindi wa jumla atakabidhiwa fedha taslimu Sh 2,000,000 na tuzo kutoka kwa wadhamini Emirate Aluminium Profile.

Back to homepage
Share this story