Pantev amesema pamoja na kutarajia upinzani mkubwa kutoka kwa Nsingizini lakini timu ipo tayari kuhakikisha tunapata matokeo chanya ikiwezekana kuimailiza mechi ugenini.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Meneja Pantev ameweka wazi furaha yake endapo tutapata ushindi wa kuanzia mabao mawili bila kuruhusu bao.