read
news & Articles

Mukwala aizamisha Singida KMC Complex
Bao pekee lililofungwa na Steven Mukwala limetosha kutupa alama tatu mbele ya Singida Black Stars katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Uwanja wa

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Singida Black Stars
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Singida Black Stars katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kocha Mkuu

Tumerejea kwenye Ligi, Tuna kibarua na Singida Leo
Baada ya kumalizika rasmi kwa michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika ambayo tulicheza fainali sasa tumerejea Ligi Kuu ya NBC na leo saa 10 jioni

Matola: Tupo tayari kuwakabili Singida Kesho
Kocha Msaidizi, Seleman Matola amesema kikosi chetu kipo tayari kwa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Black Stars utakaopigwa katika

Tumepoteza taji la Ubingwa wa Shirikisho Afrika
Mchezo wetu wa fainali ya mkondo wa pili wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane umemalizika kwa sare ya kufungana bao moja hivyo

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya RS Berkane Leo
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Amaan Zanzibar kuikabili RS Berkane katika mchezo wa mkondo wa pili wa fainali ya Kombe
