read

news & Articles

VIDEO: Timu yaendelea na mazoezi

Kikosi chetu kimeendelea na mazoezi ya uwanjani kujiandaa na msimu mpya wa mashindano 2025/2026 kikiwa kambini nchini Misri. Mlinzi mpya wa kushoto Anthony Mligo nae

Sowah: Mimi sio mkorofi kama mnavyodhani

Mshambuliaji wetu nyota, Jonathan Sowah ‘Simba Mweusi’ ameweka wazi kuwa yeye sio mchezaji mkorofi na asiye na nidhamu bali yeye ni mtu anayependa amani. Sowah

Fadlu akoshwa na usajili tuliofanya

Kocha Mkuu, Fadlu Davids ameweka wazi furaha yake kuelekea msimu mpya wa mashindano 2025/2026 kutokana na aina ya wachezaji tuliowasajili. Fadlu amesema msimu uliopita tulikuwa

VIDEO: Fadlu afunguka kuhusu kambi ya Misri

Kocha Mkuu Fadlu Davids amesema maandalizi ya timu yanaendelea vizuri huku akiwapongeza wachezaji kwa kujitunza katika kipindi chote cha mapumziko baada ya msimu kumalizika. Fadlu

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC