Simba Sports Club
News

Pablo: Nimefurahi kujiunga Simba

9 Nov 2021

Kocha Mkuu Pablo Franco, ameweka wazi furaha yake ya kuja nchini kujiunga na kikosi chetu kutokana na ubora, historia na aina mashabiki tulio nao.

Pablo amesema Simba ni timu kubwa Afrika ina mashabiki wengi na ina matarajio makubwa jambo ambalo limemvutia.

Advertisement

"Habari Wanasimba, mimi ni Pablo Franco nina furaha kuja Tanzania kujiunga na Timu ya Simba ambayo ina mashabiki wengi, nina matumaini ya kuwaona muda mfupi ujao," amesema Pablo kupitia video.

Back to homepage
Share this story