Pablo amewaanzisha mlinda mlango Beno Kakolanya walinzi Jimmyson Mwanuke na Kennedy Juma pamoja na mawinga Peter Banda na Yusuf Mhilu ambao hawakuanza katika mchezo uliopita dhidi ya Kagera Sugar.
Nahodha John Bocco ataongoza mashambulizi kama ilivyokuwa katika mchezo uliopita huku akipata msaada wa karibu kutoka kwa Kibu Denis na Rally Bwalya.
Kikosi Kamili kilivyopangwa
Beno Kakolanya (30), Jimmyson Mwanuke (21), Mohamed Hussein (15), Kennedy Juma (26), Pascal Wawa (6), Mzamiru Yassin (19), Peter Banda (11), Rally Bwalya (8),
Advertisement
John Bocco (22), Kibu Denis (38),
Yusuf Mhilu (27).
Wachezaji wa Akiba
Ally Salim (1), Gadiel Michael (2), Henock Inonga (29), Taddeo Lwanga (4), Pape Sakho (10), Sadio Kanoute (13), Medie Kagere (14)