Simba Sports Club
News

Ouattara aanza mazoezi na wenzake

22 Jul 2022

Jana asubuhi mlinzi huyo wa kimataifa wa Ivory Coast alifanya mazoezi peke yake ili kumuweka fiti kabla ya leo kujiunga pamoja na wenzake.

Ouattara anafahamiana vizuri na kocha Zoran Maki kutokana na wawili hao kufanya kazi pamoja katika timu ya Al Hilal ya Sudan.

Advertisement

Kikosi chetu kinaendelea na mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya wa ligi 2022/23 ambao utaanza mwezi ujao.

Back to homepage
Share this story