Simba Sports Club
News Videos

Onana, Awesu wajiunga na kambi nchini Misri

19 Jul 2024

Wawili hao wanajiunga na kambi ikiwa ni takribani wiki moja tangu tulivyoanza kambi ya maandalizi hapa Misri.

Baada ya kufika kambini moja kwa moja wanaendelea na programu ya mazoezi kutoka katika benchi la ufundi linaloongozwa na Kocha Fadlu Davids.

Advertisement
Back to homepage
Share this story