Simba Sports Club
News

Nyota wetu watano waitwa timu za Taifa

13 Mar 2024 By simbasc 441 views
Wachezaji wetu watano wameitwa kwenye timu zao Taifa zinazojiandaa na michuano mipya ya FIFA Series 2024 itakayofanyika nchini Azerbaijan. Nyota wanne wameitwa katika timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' na mmoja ameitwa na timu ya Taifa ya Tanzania 'Chipolopolo'. Wachezaji walioitwa kwenye kikosi cha Taifa Stars ni Aishi Manula, Mohamed Hussein, Kennedy Juma na Kibu Denis wakati ni Chipolopolo ameitwa Clatous Chama. Mashindano hayo ni mapya na mafupi ambayo yatafikia tamati Machi 27 huku kila timu ikicheza mechi mbili.
Advertisement
Back to homepage
Share this story