Simba Sports Club
News

Nyota wetu wang'ara Tuzo Mapinduzi Cup

13 Jan 2022

Michuano ya Mapinduzi mwaka 2022 imefikia tamati leo ambaoo tumetawazwa mabingwa baada ya kuichapa Azam FC bao moja katika Uwanja wa Amaan.

Kiungo mshambuliaji, Pape Ousmane Sakho amechaguliwa mchezaji bora wa mashindo baada ya kuonyesha kiwango safi.

Advertisement

Medie Kagere amekuwa mfungaji bora wa mashindano baada ya kufunga mabao mawili sawa na wengine wawili lakini yeye akiwa amecheza dakika chache.

Mlinda mlango Aishi Manula amechaguliwa kipa bora wa mashindano baada ya kutoruhusu bao hata moja katika mechi zote za michuano hiyo!

Back to homepage
Share this story