Timu yetu ya Simba Queens ambayo imemaliza nafasi ya pili imetoa wanaowania katika category mbalimbali kama ifuatavyo:
Kipa Bora
- Gelwa Yona
Mchezaji Bora
- Jentrix Shikangwa
Advertisement
Mfungaji Bora
- Jentrix Shikangwa (Tayari ameshinda tuzo hii kwakuwa ndiye kinara wa ufungaji)
Kocha Bora
- Charles Lukula