Simba Sports Club
News

Nyota wa Queens wanaowania tuzo za SLWPL 2022/23

20 May 2023 By simbasc 210 views
Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB) imeweka hadharani majina ya wachezaji na makocha wanaowania tuzo za Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Lite Women's Premier League (SLWPL) ambayo imemalizika katikati ya wiki. Timu yetu ya Simba Queens ambayo imemaliza nafasi ya pili imetoa wanaowania katika category mbalimbali kama ifuatavyo: Kipa Bora 🔸Gelwa Yona Mchezaji Bora 🔸 Jentrix Shikangwa Mfungaji Bora 🔸 Jentrix Shikangwa (Tayari ameshinda tuzo hii kwakuwa ndiye kinara wa ufungaji) Kocha Bora 🔸 Charles Lukula
Advertisement
Back to homepage
Share this story