Simba Sports Club
News

Nyota sita waitwa Taifa Stars

20 May 2022

Taifa Stars itacheza mechi mbili za kufuzu dhidi ya Niger pamoja na Algeria.

Nyota hao walioitwa ni mlinda mlango Aishi Manula walinzi Shomari Kapombe, Mohamed Hussein na Kennedy Juma.

Advertisement

Wengine ni kiungo Mzamiru Yassin na mshambuliaji Kibu Denis ambao watatuwakilisha katika kikosi hicho cha Stars.

Back to homepage
Share this story