Taifa Stars itacheza mechi yake ya kwanza Machi 23 dhidi ya Jamhuri ya Afrika ya Kati na Sudan Machi 29 zote zikipigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.
Wachezaji walioitwa ni
Aishi Manula
Shomari Kapombe
Israel Mwenda
Advertisement
Mohamed Hussein
Mzamiru Yassin
Jonas Mkude
Kibu Dennis
Baada ya mchezo wetu wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya ASEC Mimosas utakaopigwa Machi 20 nchini Benin wachezaji hao wataruhisiwa kujiunga na kikosi cha Stars.