Tumeamua kuondoka na idadi hiyo kubwa ya wachezaji ukiacha wale majeruhi ili kumpa nafasi Kocha Juma Mgunda na wasaidizi wake kuwa na wigo mpana wa kupanga kikosi.
Kikosi kamili kilitakachosafiri
Makipa
1. Aishi Manula
2. Beno Kakolanya
3. Ally Salim
Mabeki
4. Israel Patrick
5. Mohamed Hussein
6. Gadiel Michael
7. Henock Inonga
8. Mohamed Outtara
9. Joash Onyango
10. Kennedy Juma
11. Erasto Nyoni
Advertisement
12. Nassor Kapama
Viungo
13. Jonas Mkude
14. Mzamiru Yassin
15. Sadio Kanoute
16. Victor Akpan
17. Clatous Chama
18. Nelson Okwa
19. Pape Sakho
20. Augustine Okrah
Washambuliaji
21. John Bocco
22. Moses Phiri
23. Habib Kyombo
24. Kibu Denis