Timu imeondoka na wachezaji 24 tayari kwa mchezo huo ambao tunafahamu utakuwa mgumu.
Hiki hapa kikosi kamili kilichosafiri.
Makipa:
Ally Salim, Ayoub Lakred na Hussein Abel
Walinzi:
Advertisement
Shomari Kapombe, Mohamed Hussein, Israel Patrick, David Kameta, Henock Inonga, Che Fondoh Malone, Kennedy Juma na Hussein Kazi.
Viungo:
Fabrice Ngoma, Mzamiru Yassin, Abdallah Hamis, Clatous Chama, Luis Miquissone, Said Ntibazonkiza, Kibu Denis, Willy Essomba Onana, Sadio Kanoute
Washambuliaji:
John Bocco, Jean Baleke, Moses Phiri na Shaban Chilunda.