Simba Sports Club
News

Nyota 24 kuwafuata Ruvu Shooting Mwanza

17 Nov 2021

Kikosi cha wachezaji 24 kitaondoka leo jioni kuelekea jijini Mwanza tayari kwa mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Ruvu Shooting utakaopigwa Ijumaa katika Uwanja wa CCM Kirumba.

Kikosi kamili kitakachosafiri

Makipa

1. Aishi Manula

2. Beno Kakolanya

3. Ally Salim

Walinzi

4. Gadiel Michael

5. Shomari Kapombe

6. Mohamed Hussein

7. Joash Onyango

8. Pascal Wawa

9. Kennedy Juma

10. Erasto Nyoni

11. Henock Inonga

Viungo

12. Jonas Mkude

13. Mzamiru Yassin

14. Hassan Dilunga

Advertisement

15. Yusuph Mhilu

16. Pape Ousmane Sakho

17. Jimmyson Mwinuke

18. Duncan Nyoni

19. Abdulsamad Kassim

20. Bernard Morrison

21. Sadio Kanoute

Washambuliaji

22. Medie Kagere

23. John Bocco

24. Kibu Denis

Wachezaji Majeruhi

1. Chris Mugalu

2. Taddeo Lwanga

3. Ibrahim Ajibu

4. Israel Patrick

Wachezaji ambao bado hawajaripoti kutoka timu za mataifa yao.

1. Peter Banda

2. Rally Bwalya

Back to homepage
Share this story