Kikosi kimeondoka na wachezaji 22 ambao tunaamini wataweza kutupatia matokeo chanya katika mchezo huo ambao tunafahamu utakuwa mgumu.
Kikosi kamili
Makipa:
Ayoub Lakred, Ahmed Feruz na Ally Salim
Walinzi:
Advertisement
Shomari Kapombe, Mohamed Hussein, Che Malone Fondoh, Henock Inonga, Kennedy Juma, Israel Mwenda, David Kameta.
Viungo:
Fabrice Ngoma, Sadio Kanoute, Mzamiru Yassin, Clatous Chama, Dennis Kibu, Saidi Ntibazonkiza, Luis Miquissone na Essomba Onana na Abdallah Khamis.
Washambuliaji :
Jean Baleke na Moses Phiri