Simba Sports Club
News

Nusu Fainali ya Kwanza ya CAFCC kupigwa Aprili 20

10 Apr 2025

Stellenbosch wamepata nafasi hiyo baada ya kufanikiwa kuitoa Zamalekh kwa kuifunga bao moja 

Huu utakuwa mchezo muhimu kwetu baada ya kupita miaka 32 kucheza hatua ya nusu fainali,

Advertisement
Back to homepage
Share this story