Nsanganzelu (39) alikuwa mmoja wa makocha waliokuwa kwenye kituo cha TDS Tanga kabla ya kujiunga na Simba Queens.
Nsanganzelu ni kocha kijana mwenye leseni A ya CAF ambaye amejidhatiti kuhakikisha anarejesha heshima ya Simba Queens.
Advertisement
Nsanganzelu pia ni kocha wa utimamu wa mwili (Fitness Coach) ambapo kabla ya kujiunga nasi alikuwa kwenye benchi la timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars'.