Simba Sports Club
News

Mzamiru ajiunga na TRA kwa mkopo

15 Jan 2026

Mzamiru amejiunga na kikosi chetu kwa takribani miaka 10 iliyopita ni mmoja ya wachezaji waandamizi kwenye timu na mara zote amekuwa na mchango mkubwa.

Moja ya sifa kubwa aliyonayo Mzamiru ni kujitoa muda wote kuisadia timu na mara zote amekuwa mshindani wa kweli ndani ya uwanjani.

Advertisement

Uongozi wa Simba unaamini Mzamiru atakuwa msaada mkubwa katika kikosi cha TRA na kutokana na uzoefu alionao ataongeza kitu kikubwa kikosini.

Simba inamtakia kheri Mzamiru katika kipindi chote cha mkopo atakapokuwa anaitumikia TRA.

Back to homepage
Share this story