Simba Sports Club
News

Mwasikili Kocha Msaidizi Simba Queens

25 Jun 2022

Kabla ya kujiunga nasi Mwasikili alikuwa Kocha Msaidizi wa Fountain Gate Princess ya Dodoma ambapo kutokana na uwezo na uzoefu wake tumeona anaweza kuongeza nguvu kubwa kikosini.

Kiungo huyo mkabaji ambaye amewahi kucheza soka la kimataifa nchini Uturuki.

Advertisement

Mwasikili ana Elimu ya Diploma C ya Ukocha ambayo ukichanganya na uzoefu wake wa kufundisha na kucheza tunaamini atakuwa na mchango mkubwa.

Back to homepage
Share this story