Simba Sports Club
News

Mwana FA akabidhi pesa za goli la mama

19 Dec 2023

Rais Samia hutoa Shilingi milioni tano kwa kila bao litakalofungwa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika ili kuongeza morali kwa wachezaji.

Bao la mama linaongeza morali kwa wachezaji kujituma kuisaidia timu kupata matokeo ya ushindi.

Advertisement

Katika mchezo wa leo dhidi ya Wydad Casablanca mabao yote mawili tuliyoshinda yamefungwa na kiungo mshambuliaji, Willy Onana.

Back to homepage
Share this story