Simba Sports Club
News

Mukwala Aizamisha KMC ndani ya KMC Complex

11 May 2025

Kiungo mshambuliaji, Rashid Chambo aliipatia KMC bao la kwanza dakika ya nane kwa shuti kali nje ya 18 lililomshinda mlinda mlango wetu Moussa Camara.

Mshambuliaji Steven Mukwala alitupatia bao la kusawazisha dakika ya 18 baada ya kupokea pasi ya Joshua Mutale kufuatia kugongeana na Kibu Denis hadi ndani ya 18.

Mukwala alitupatia bao la pili dakika ya 47 baada ya kupokea pasi kutoka kwa Joshua Mutale.

Ushindi huu umetufanya kufikisha pointi 69 baada ya kucheza mechi 26 tukiendelea kubaki nafasi ya pili alama moja nyuma ya vinara.

Advertisement

X1: Ahmada, Kenny, Hence, Shemvuni, Chambo, Baliko, Ally, Paschal, Oscar, Lanso, Salum

Waliionyeshwa kadi: Aminyike 30' Chambo 30'

X1: Camara, Kapombe, Nouma (Zimbwe Jr' 70'), Hamza, Che Malone, Okajepha (Kagoma 45'), Kibu (Ateba 88') Ngoma Mukwala (Mpanzu 70') Ahoua, Mutale (Chasambi 88')

Walioonyeshwa kadi: Hamza 45'

Back to homepage
Share this story