Simba Sports Club
News

Mpanzu ajiunga na kambi nchini Misri

5 Aug 2025

Mpanzu amejiunga na timu kutoka moja kwa moja nchini kwao DR Congo alipokuwa mapumzikoni baada ya kumalizika kwa msimu.

Mpanzu amechelewa kujiunga na timu kutokana na kuchelewa kupata vibali vya kuingia nchini Misri ambavyo kwa sasa vimekamilika na tayari amejiunga na timu.

Advertisement

Kikosi kitaendelea na kambi ya maandalizi ya msimu nchini Misri kwa wiki nne kabla ya kurejea jijini Dar es Salaam.

Back to homepage
Share this story