Mo amekuwa na utaratibu wa kupunguza viingilio ili kuwawezesha mashabiki kujitokeza kwa wingi kuipa sapoti timu.
Mo amefanya uamuzi wa kupunguza viingilio vya mzunguko kwakuwa ndilo eneo linaochukua watu wengi na lengo letu Jumamosi ni kuhakikisha tunapata ushindi nyumbani hivyo tunahitaji idadi kubwa ya mashabiki.
Advertisement
"Mashabiki wetu ni nguzo muhimu ya ushindi wa timu yetu, Mashabiki wetu ni mashabiki bora Afrika. Naomba tukaujaze Uwanja wa Mkapa Jumamosi," amesema Mo.