Simba Sports Club
News

Mo aongoza kikao cha Bodi ya Wakurugenzi Dar

4 May 2025

Kikao hicho kimefanyika katika Ofisi za Mohamed Interprises (METL) Posta jijini Dar es Salaam.

Tumekuwekea picha matukio mbalimbali wakati kikao hicho kikiwa kinaendelea.

Advertisement
Back to homepage
Share this story