Simba Sports Club
News

Mgunda: Ya Tabora yameisha tunajiandaa na Azam

6 May 2024

Mgunda amesema mchezo dhidi ya Tabora ulikuwa mgumu na walitupa upinzani mkubwa lakini umemalizika na tunajipanga kwa mechi ya Azam.

"Kila mchezo una maandalizi yake, huu wa leo umeisha tunarudi mazoezini kujiandaa na mechi inayofuata," amesema Mgunda.

Advertisement

Akizungumzia mchezo wenyewe Mgunda amesema "hii ni mechi muhimu kwakuwa itaamua nani anatakiwa kukaa juu ya mwenzie."

"Kitu kingine msisahau kuwa hii ni Derby ambayo inatakutanisha timu bora ambazo zinapigania ubingwa, kwahiyo haiwezi kuwa rahisi lakini tumejipanga kwa ajili ya mchezo huo," amesema Mgunda.

Back to homepage
Share this story