Simba Sports Club
News

Mgunda: Tumewasoma De Agosto, tumejipanga

6 Oct 2022

Mgunda amesema baada ya kuwaona wapinzani wetu tunaendelea kuwafanyia kazi mazoezini ili tukikutana nao uwanjani tujue jinsi ya kuwakabili.

Advertisement
Back to homepage
Share this story