Mgunda ametuwezesha kutwa ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake msimu uliopita bila kupoteza mechi yoyote.
Kwa upande wake mshambuliaji Aisha Mnuka ameshinda tuzo ya mfungaji bora baada ya kufunga mabao 20.
Advertisement
Nae Caroline Rufa ameshinda mlinda mlango bora baada ya kuonyesha kiwango bora na kuruhusu mabao machache ya kufungwa.