Simba Sports Club
News

Mgunda Kocha Bora Mwezi Mei

3 Jun 2024

Mgunda amewapiku Miguel Gamondi wa Yanga na Bruno Ferry wa Azam ambao alikuwa anashinda nao katika kinyang'anyiro hicho.

Katika mwezi Mei, Mgunda ametuwezesha kushinda mechi sita kati ya saba tuliyocheza na kukusanya pointi 19.

Advertisement

Mechi hizo ni dhidi ya Mtibwa (2-0), Tabora United (2-0), Azam FC (3-0), Geita Gold (4-1), KMC (1-0), JKT Tanzania (2-0), Kagera Sugar (1-1),

Back to homepage
Share this story