Simba Sports Club
News

Mgunda, Chama wakabidhiwa tuzo za Desemba

18 Jan 2023

Mgunda ameshinda tuzo hiyo kwa kuwapiku Hans Van Plujim wa Singida Big Stars na Nasreddine Al Nabi wa Yanga ambao aliingia nao fainali ya kinyang'anyiro hicho.

Kwa upande wake Chama aliwashinda Nahodha John Bocco na Fiston Mayele wa Yanga.

Advertisement

Mgunda na Chama wamekabidhiwa kila mmoja tuzo, mfano wa hundi na Sh 1,000,000 na Kisimbuzi cha Azam TV.

Back to homepage
Share this story