Simba Sports Club
News

Mechi zetu nne zimeahirishwa

22 Dec 2023 By simbasc 847 views
Bodi ya Ligi (TPLB) imehairisha baadhi ya mechi zetu ili kupisha mchezo kati ya timu ya taifa ya Zanzibar Heroes na Tanzania Bara ambayo itatumika kufungua uwanja wa Amaan, Zanzibar ambao umefanyiwa ukarabati mkubwa. Hii ina maanisha mechi zetu nne ambazo tulitakiwa kuzicheza kuanzia Disemba 26 hadi Januari tano kuahirishwa. Mechi zetu zilizoahirishwa ni Disemba 26, Mashujaa vs Simba Disemba 29, Tabora United vs Simba Januari Mosi, Azam vs Simba Januari 4, Geita Gold vs Simba
Advertisement
Back to homepage
Share this story