Simba Sports Club
News

Mchezo wetu wa 16 bora CRDB Federation Cup kupigwa Machi 27

15 Mar 2025

Mchezo huo ambao utapigwa saa 10 jioni katika Uwanja wa KMC Complex jijini Dar es Salaam sisi tutakuwa wenyeji.

Tumepata tiketi ya kucheza mchezo huo baada ya kuitoa TMA Stars kutoka Manyara katika mechi ya hatua ya 32 bora iliyochezwa Machi 11, Uwanja wa KMC Complex na kuibuka na ushindi wa mabao 3-0.

Advertisement
Back to homepage
Share this story