Simba Sports Club
News

Mchezo wetu dhidi ya Mtibwa kupigwa Januari 18

14 Jan 2026

Katika kipindi cha takribani mwezi mmoja Ligi ilisimama kupisha michuano ya AFCON ambayo nayo inaelekea ukingoni.

TPLB imetangaza rasmi kuwa mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mtibwa Sugar utapigwa Jumapili, Januari 18 katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo.

Advertisement

Mpaka sasa tumecheza mechi tano za Ligi tukiwa na alama 12 tukiwa nafasi ya sita kwenye msimamo.

Back to homepage
Share this story