Mtanange huo ambao sisi ndio wenyeji utapigwa katika Uwanja huo saa 10 jioni na tunategemea utakuwa mgumu kutokana na ubora wa wapinzani.
Tumeamua kuchagua Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kutokana na Viwanja vya nyumbani tunavyotumia kuwa na ratiba nyingine.