Awali mchezo huo ulipangwa kuchezwa kesho Jumatano katika Uwanja huo huo wa Meja Jenerali Isamuhyo lakini sasa umesogezwa mbele hadi Jumamosi.
Maandalizi kuelekea mchezo huo yameanza mara moja baada ya kupokea ratiba kutoka TPLB.
Advertisement
Baada ya kukamilika kwa mchezo huo Ligi itasimama kupisha kalenda ya FIFA.