Awali ilitangazwa mchezo huo ungepigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa saa moja usiku lakini sasa utapigwa Uhuru saa 10 jioni.
Kikosi kimeanza mazoezi leo na jioni kitaingia kambini moja kwa moja kujiandaa na mchezo huo ambao tutapambana kuhakikisha tunashinda.
Advertisement
Ingawa bado tunapambana kuhakikisha tunashinda taji la Ligi Kuu lakini ubingwa wa ASFC pia ni sehemu ya mipango yetu ya msimu huu.