Mchezo ambao ulikuwa Haujapangiwa tarehe sasa utapigwa Novemba 22 katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza saa 10 jioni.
Mchezo huo ututapigwa mara tu baada ya kumalizika kwa mechi za Kimataifa za kufuzu fainali za Afrika (AFCON).
Advertisement
Tayari kikosi kimeanza mazoezi tangu jana kujiandaa na mchezo huo na mara tu utakapomalizika kitaendelea na maandalizi ya mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Bravo.